tag:blogger.com,1999:blog-66661838069092354332024-03-13T02:29:09.012+03:00SamMisago.ComSamMisago.ComBasil Shikila Lyayukahttp://www.blogger.com/profile/14177663420583827823noreply@blogger.comBlogger292125tag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-39678302089056597182014-11-21T09:16:00.003+03:002014-11-21T09:16:48.864+03:00Wimbo Wa Jaguar Ft Iyanya-One Centimeter Remix, Sikiliza Hapa
Wimbo Wa Jaguar Ft Iyanya-One Centimeter, Sikiliza Hapa
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-50314550581459697492014-11-21T09:03:00.002+03:002014-11-21T09:06:51.572+03:00Picha, Video Ya Diamond 'Ntampata Wapi' Imefikisha Watazamaji Zaidi Ya Laki Moja Youtube Ndani Ya Saa 24.
Video ya Diamond iliyosimamiwa na muongozaji kutika Africa Kusini Godfather sasa imetimiza zaidi ya watazamaji laki moja ndani ya saa 24 tu za kuwa mtandaoni.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-70110402138892376242014-11-21T07:41:00.001+03:002014-11-21T07:41:16.261+03:00Imetajwa Wilaya Inayongoza Kwa Ukatilia Wa Kijinsia Na Watoto Nchini Tanzania
Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania inaogoza kwa ukatilia wa kijinsia na watoto huku ikibainika kuwa watoto ndio wamekuwa wahanga wa kubwa katika jamii.Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa Kilimanjaro Bi. Grace Limo wakati wa Uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Duniani.Bi. Grace amesema watoto wengi katika wilaya hiyo Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-69856394926270704422014-11-21T07:35:00.001+03:002014-11-21T07:35:18.941+03:00Picha,Chris Brown Achora Mashairi Ya Wimbo Wa Tupac “Lord Knows” Kwenye Gari Yake'Lamborghini'
Mchora tattoo anayefahamika kama Michael “Huero” amemsaidia Chris Brown kuchora mashairi ya wimbo anaoupenda wa 2 Pac wa 'Lord Knows' kwenye gari yake aina ya Lamborghini.
Hizi picha nilizopata wakati inachorwa, mpaka kukamilika.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-52951072918211854272014-11-21T06:51:00.000+03:002014-11-21T06:51:07.222+03:00Picha,Tattoo Ya Ngwea Na Geez Mabovu Kwenye Kifua Cha Dark Master
Rapper wakundi la Chemba Squad Dark Master ametengeneza kumbukumbu nyingine kwenye maisha yake kwa kujichora tattoo yenye majina ya marehemu Ngwea na Geez Mabovu.Akiwa ni member wa kundi alilokuwa Ngwea na mtu wa karibu wa Geez Mabovu Dark Master anasema hii misiba miwili ni pigo kubwa kwenye maisha yake.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-62980159653622250362014-11-21T06:28:00.004+03:002014-11-21T06:28:44.482+03:00Hii Kuhusu Collabo Ya Rapper Kutoka Ghana Na Fid q.Ni mara chache sana unasikia Fid Q anafanya collabo na msanii yeyote kutoka nje ya Tanzania.
Kwenye inteview na Efm Nov 20 1014, Diamond Platnum amesema amefanikiwa kumunganisha rapper kutoka Ghana Sarkodie na Fid q kutoka Tanzania baada ya kusikia Fid q angependa kufanya nae kazi. Diamond anasema alimtumia message Sarkodie ikiwa na clip ya show ya Fid q na jamaa alishanga shangwe la Fid q Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-47346998749186576682014-11-20T15:13:00.000+03:002014-11-20T15:13:45.095+03:00Hii Video Mpya Ya Mr Blue-PesaHii Video Mpya Ya Mr Blue inaitwa Pesa, kwenye video anaonekana ,Ali kiba. Chid Benz, Becka total. Bonyeza Play Kutazama.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-21694967094235663782014-11-20T14:14:00.004+03:002014-11-20T14:14:53.688+03:00Picha,Navio Na Izzo Bizness Kurekodi Collabo Yao Leo
Msanii kutoka Uganda aliyesema angependa kufanya kazi na rapper Izzo Bizness, Leo November 20 2014 atakamilisha mpango huo baada ya wawili hawa kukutana na kukubaliana kuwa kazi hio inaweza kufanyika.Wimbo utafanywa na Master Jay.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-3949057149982525762014-11-20T13:00:00.001+03:002014-11-20T13:37:14.386+03:00Video Na Audio,Diamond Platnumz-Nitampata Wapi, Ndio Hizi
Kazi mpya ya Diamond Platnumz-Nitampata Wapi, Video Na Audio ndio hizi Mwanangu. Audio katengeneza Sheddy Clever na video katengeneza Godfather kutoka Afrika Kusini
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-36425028633140117202014-11-20T08:39:00.000+03:002014-11-20T08:39:10.637+03:00Angelina Jolie Kuacha Kuigiza,Hii Ndio Kazi Anataka Kufanya Sasa.
Mwigizaji Angelina Jolie ambaye kwa sasa yupo kwenye ziara tofauti akitangaza kazi mpya aliyosimamia na kuongoza "Unbroken" amezungumzia kuacha kuigiza kabisa na kuanza kazi rasmi ya kuongoza filamu.
Kwenye interview na jarida la DuJour Jolie amesema " sijawahi kujiskia huru kuigiza japokuwa napendwa nikiwa mbele ya camera, sidhani kama nitaweza kuwa muongozaji bora kama navyotaka ila ndio Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-85267485639379482812014-11-20T08:20:00.000+03:002014-11-20T08:20:13.387+03:00Wimbo Mpya Wa Victoria Kimani 'Show' Ndio HuuHuu wimbo wa msanii kutoka Kenya Victoria Kimani 'Show' Bonyeza Play Kusikiliza
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-66811208049525126702014-11-20T08:13:00.001+03:002014-11-20T08:13:47.855+03:00Hii Asilimia Ya Madini Ya Tanzanite Yanayotoroshwa Nje Ya Nchi Kila Mwaka.
Asilimia 80 ya madini aina ya Tanzanite yanayozalishwa nchini Tanzania, yanatoroshwa nje ya nchi na wafanyabiashara wasio waaminifu, huku nchi ikiambulia asilimia 20 tu ya madini hayo yanayozalishwa eneo la Mererani mkoani Manyara.Kamishna wa Madini kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Paul Masanja, amesema hayo wakati wa maonyesho ya kimataifa ya Vito, yanayofanyika jijini Arusha na Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-74834497818484681122014-11-20T08:05:00.002+03:002014-11-20T08:05:18.235+03:00Hizi Takwimu Za Maambukizi Ya Virusi Vya UKIMWI Kwa Watoto.
Takwimu zinaonesha kwamba watoto 1,30,000 wana maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (VVU) Huku kati ya hao 39317 wamefikiwa na kupatiwa huduma ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo. Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dkt. Pindi Chana wakati akifungua kongamano la nne la kitaifa la VVU na UKIMWI kwa watoto linalofanyika katika Ukumbi Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-61344276180556835142014-11-20T07:57:00.001+03:002014-11-20T07:57:17.176+03:00Wimbo Mpya Wa Davido 'Owo Ni Koko' Umetayarishwa Na Producer J Fem.Wimbo mpya wa msanii Davido unaitwa Owo Ni Koko, umetayarishwa na producer J Fem.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-19243208664995906862014-11-20T07:50:00.002+03:002014-11-20T07:50:57.253+03:00Ntampata Wapi Ya Diamond Platnumz Itakuwa Kwenye Radio Na Tv Yako Leo.
Kuelekea mwisho wa mwaka 2014 November 20 2014 msanii Diamond Platnumz anatoa wimbo mpya ambao nikama zawadi kwa mashabiki wake kwa mchango wao kwenye muziki wake mwaka huu.
Video yake ya wimbo huu 'Nitampata Wapi' imeshachezwa Mtv Base na sasa itaanza kuchezwa kwenye vituo vya nyumbani soon.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja hukuUnknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-74540745693335757062014-11-20T07:23:00.002+03:002014-11-20T07:23:20.363+03:00Ulishawahi Kumsikia Witness Akiimba,Msikilize Humu 'Chunga Mdogo Wako'
Witness ni miongoni mwa wasanii waliozoeleka kuwa wanafanya muziki wa rap, kwenye huu wimbo ameiba,
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-55267881191253733852014-11-20T07:08:00.003+03:002014-11-20T07:09:53.841+03:00Video Mpya Ya B.O.B Aliyomshirikisha Trey Songz “Not For Long” Ndio Hii.
Hii video mpya ya msanii wa T.I , B.O.B aliyomshirikisha Trey Songz wimbo unaitwa “Not For Long”. Kwenye wimbo unamsikia B.OB Na Trey wakimwambia binti flani kuwa anafanya kosa kuwa kwenye mapenzi na mtu fulani badala ya kuwa na wao.
"You will be mine, even if you’re somebody else’s…but not for long!”
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-12147710372629711572014-11-20T06:53:00.001+03:002014-11-20T06:53:44.378+03:00Bado Ray J Anatengeneza Pesa Kutokana Na Mkanda Wa Ngono Na Kim Kardashian,Hizi Za Wiki Iliyopita Tu.
Baada ya staa Kim Kardashian kuvunja Internet na picha yake ya utupu kwenye cover la jarida la Paper, mpenzi wake wa zamani Ray J amezidi kutengeneza pesa kutokana na mauzo ya mkanda wao wa ngono waliorekodi zamani. .
Vivid Entertainment imeuambia mtandao wa TMZ Kuwa mkanda wa Kim na Ray J unaoitwa Kim K Superstar imapata mauzo makubwa kutokana na picha za Kim K.
Ray J ambaye ni Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-4796580174941700032014-11-20T06:51:00.000+03:002014-11-20T07:09:05.209+03:00Wimbo Mpya Wa Jose Chameleone 'Milliano' Uko Hapa
Baada ya majibu kuhusu collabo na Diamond kueleweka ,hii kazi mpya kutoka kwa Chameleone kabla mwisho wa mwaka 'Milliano' .
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-51784915897350629792014-11-20T06:30:00.000+03:002014-11-20T06:38:18.872+03:00Snoop Dogg Atoa Sababu Ya Kuvuta Bangi Na Inavyomsaidia.
Baada Ya Kuonyesha uwezo wake wa uchoraji rapper Snoop Dogg amefanyiwa interview na jarida la Paper kuhusu kipaji hicho na jinsi bangi inavyomsaidia.
Snoop Dogg amesema " Bangi inamsaidia kuwa na mtazamo bora, kuwa ndani ya kazi yenyewe na 'FOCUS' ya maana, unajua unaweza tupia marangi tu ukutani ukatoa kitu ila ukiwa na muda wa kukitazama na kukifikiria kitatoka bora zaidi"
Snoop Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-12397610432428222012014-11-19T10:00:00.000+03:002014-11-20T07:29:00.037+03:00Mshindi wa kwanza Ndovu Golden Experience
Mshindi wa kwanza Ndovu Golden Experience
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-16843009107509071832014-11-19T06:04:00.002+03:002014-11-19T06:04:28.571+03:00Video, Exclusive Amini Akizungumza Baada Ya Kuagwa Na Tht, Amepata Managment Mpya.
Hii Video,Exclusive Interview niliyofanya na Amini baada tu ya Kuagwa Na Tht, Amepata Managment Mpya kama ilivyokuwa kwa Linnah.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-37305786941771326842014-11-19T05:50:00.001+03:002014-11-19T05:50:41.465+03:00Hemedy Kuja Na Video Mpya Jina Na Lini Inatoka Viko Hapa. #TwitZaMastaa
Kama ilivyo kawaida kwa Hemedy Phd kutoa kazi na video mapema ili mashabiki wapate vyote kwenye radio na tv, Hii itatokea kwenye wimbo wake mpya GoodMorning. Video inatarajiwa kutoka December
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-45882013659725797682014-11-19T05:27:00.002+03:002014-11-19T05:27:52.561+03:00Enjoy Wimbo Wa Mwasiti Ft Godzilla-Leo
Enjoy Wimbo Wa Mwasiti Ft Godzilla-Leo
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook Unknownnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6666183806909235433.post-69835310645034604812014-11-19T00:34:00.002+03:002014-11-19T00:34:32.414+03:00Picha Na Info,Lite Up The Weekend Ilivyohitimishwa Na Yacht Party,Ikitokea Tena Usikose Mwanangu.
Wikiendi iliyopita ilishuhudia kilele cha kampeni ya Lite Up The Weekend ambayo iliyoendeshwa na bia ya Castle Lite huku ikihusisha wanywaji wa bia hiyo waliopata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali kwa kutuma namba za ndani ya kizibo. Katika siku hiyo washindi wa droo kubwa walipata nafasi ya kukutana na kujumuika katika Yacht Party iliyoanzia katika ya hoteli ya Coral Beach kabla ya Unknownnoreply@blogger.com