Mashabiki wa Diamond wataongezeke mara mbili baada ya bwana Platnumz kuonekana kuwa karibu na uwa lao Zari The Boss Lady. Uganda wamekuwa wakifuatilia nyimbo za bongo fleva kitu ambacho kimehamasisha wasanii wao waanza kuimba kwa lugha ya kiswahili.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku piaInstagram , Twitter Na Facebook
Picha,Zari The Boss Lady Alivyokutana Na Diamond Platnumz Kwenye Ndege.
Reviewed by Unknown
on
Friday, November 07, 2014
Rating: 5
Post Comment