Picha,Uso Wa Eminem Ulivyo Badilika Baada Ya Matumizi Ya Dawa Za Kulevya Kwa Muda Mrefu.
Rapper Eminem amewahi kukiri kuwa angepoteza maisha kwa matumizi ya dawa za kulevya, kwa jinsi ilivyoonekana kwenye picha za hivi karibuni ni kuwa bado madhara ya dawa hizo yanaendelea kuonekana kwenye mwili wa Eminem haswa kwenye sura yake.
Sura yake imekuwa tofauti sana alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The Year mjini New York jumatano hii.
Sura yake imekuwa tofauti sana alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The Year mjini New York jumatano hii.
Picha,Uso Wa Eminem Ulivyo Badilika Baada Ya Matumizi Ya Dawa Za Kulevya Kwa Muda Mrefu.
Reviewed by Unknown
on
Friday, November 07, 2014
Rating: