Top Ad unit 728 × 90

.

Just Got Paid Ilivyofana

Ijumaa wiki iliyopita Castle LITE ilidhamini pati ya JUST GOT PAID iliyofanyika Azura, Mikocheni. Pati hii ni ya madhumuni ya watu kusherekea mwisho wa mwezi na kuburudika kwa kinywaji cha Castle LITE na muziki bomba.

Wageni katika sherehe hii pia walihimizwa kushiriki katika shindano la kujishindia zawadi kutoka Castle LITE ambapo walitakiwa kutembelea tovuti ya www.castlelite.co.tz kujiunga katika droo. Zawadi za kujishindia ni Samsung Galaxy Tab, T-shirt, Kofia na Key holder za Castle LITE pamoja na Castle LITE za kopo. Picha kadhaa kutoka pati hii watu wakiburudika na Castle LITE jioni hiyoI

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook  
Just Got Paid Ilivyofana Reviewed by Unknown on Tuesday, September 02, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.