Hii Video Mpya Ya Keyshia Cole Ambayo Yupo Na Mtoto Wake Wa Kiume ‘Remember Pt 2',
Video mpya ya msanii wa Rnb ambaye hivi karibuni alihusishwa kimapenzi na Birdmen 'Keyshia Cole' aliyoipa “Remember 2, video hii ambayo wimbo upo kwenye album mpya ya ‘The Point Of No Return anaonekana mtoto wake wa kiume.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Hii Video Mpya Ya Keyshia Cole Ambayo Yupo Na Mtoto Wake Wa Kiume ‘Remember Pt 2',
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, October 22, 2014
Rating: