Top Ad unit 728 × 90

.

Kauli Nne Kutoka Kwa Bosi Wa YMCMB Kuhusu Beef Ya Drake Na Tyga.

Boss wa Cash Money records Birdman amekaa chini hivi karibuni na kuzungumzia beef ya wasanii wake Drake na Tyga inayopelekea wasanii hawa kutofanya kazi pamoja na kuchukiana. Birdman pia amezungumzia Tyga kuhama lebel.
Birdman anasema 

1.Naongea na kubadilishana message na Drake kila siku ila mpaka sasa sijaongea naye kuhusu hili swala.

2] Huwezi kumfananisha Drake na Tyga, Drake ni Drake, namba hazidanganyi, jamaa anauza sana album, hakuna msanii anayefanya anachofanya ikija kwenye swala la kutengeneza muziki bora.

3] Kama Tyga amemdiss Drake kwenye Wimbo wake wa 'Make It Work' ni kawaida kwani Drake anaweza mfanya msanii yeyote amwandikie wimbo.

4] Tyga bado yupo YMCMB Ila sipendi matusi na kejeli zake atabidi afanya maamuzi kama anabaki au anatoka.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook

Kauli Nne Kutoka Kwa Bosi Wa YMCMB Kuhusu Beef Ya Drake Na Tyga. Reviewed by Unknown on Wednesday, October 29, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.