Picha, Mke Wa T.I Alivyobadilisha Rangi Ya Macho Yake Moja Kwa Moja.
Mke wa T.I. Tiny amefanya maamuzi magumu ya kubadilisha moja kwa moja rangi ya macho yake na kutuonyesha picha kwa kutumia Instagram.
Kwenye hii post ambayo ilifutwa baadae anamshukuru daktari kwa kufanyia kazi nzuri kwenye macho yake,
Kwenye hii post ambayo ilifutwa baadae anamshukuru daktari kwa kufanyia kazi nzuri kwenye macho yake,
Kupadilisha rangi ya macho ndio imekuwa style mpya sasa kwa wanawake wanaotaka uzuri na tayari watu maarufu wameanza kufikiria swala hili. Huyu dada mwingine aliyebadilisha rangi ya macho yake.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Picha, Mke Wa T.I Alivyobadilisha Rangi Ya Macho Yake Moja Kwa Moja.
Reviewed by Unknown
on
Saturday, October 25, 2014
Rating: