Picha,Kwenye Utengenezwaji Wa Video Ya Kupanda Na Kushuka,Yupo Nikki Mbishi,Songa,Lady Jaydee Na One The Incredible.
Wimbo wa Kupanda na Kushuka umetambulishwa rasmi 31/10/2014, huu ni wimbo unaozungumzia mida tofauti kwenye maisha ya watu tofauti, hali ya kuwa juu na chini ni ya kawaida na hutokea mara kwa mara kwahio isikuvunje moyo. Video imetayarishwa na Adam Juma, Audio ni Man Water.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Picha,Kwenye Utengenezwaji Wa Video Ya Kupanda Na Kushuka,Yupo Nikki Mbishi,Songa,Lady Jaydee Na One The Incredible.
Reviewed by Unknown
on
Friday, October 31, 2014
Rating: