Top Ad unit 728 × 90

.

Picha,Peter Wa P Square Awa Balozi Wa Olympic Nigeria.

Peter wa P Square leo ameingia mkataba wa kuwa balozi wa kinywaji cha Olympic Nigeria. Picha nilizopata zinamuonyesha msanii huyu akiwa na baadhi ya viongozi wa bidha hii wakisaini mikataba na baadae akaanza shughuli ya kuhamasisha watu kuandika mambo wanayo yajua kuhusu kunywaji hichi ili kushinda zawadi.

Yes it’s true! I am @OlympicNigeria’s Ambassador. #OlympicReveals

Follow @OlympicNigeria and tweet what you know about @OlympicNigeria using #OlympicReveals. The most creative tweets will win special gifts
THIS IS IT! #OlympicReveals OLYMPIC APPLE FRUIT JUICE #OlympicAppleFruitJuice
Signed and sealed! Heading to Victoria Island….It’s is about to happen @OlympicNigeria #OlympicReveals  

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook


Picha,Peter Wa P Square Awa Balozi Wa Olympic Nigeria. Reviewed by Unknown on Wednesday, October 15, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.