Unakumbuka Dogo Janja Alisema Hakuna Dogo Anaweza Chana Kama Yeye,Haya Jaden Smith Naye Kathubutu.
Mtoto wa muigizaji Will Smtih 'Jaden Smith' ametumia twitter kufahamisha dunia kuwa ana nyimbo zinazoweza kutosha kwenye album mbili au tatu, Jaden pia ametoa nafasi kwa msanii yeyote wa umri wake anayedhani anaweza kurap kama yeye ajitokeze.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Unakumbuka Dogo Janja Alisema Hakuna Dogo Anaweza Chana Kama Yeye,Haya Jaden Smith Naye Kathubutu.
Reviewed by Unknown
on
Saturday, October 18, 2014
Rating: