Top Ad unit 728 × 90

.

Wachungaji Kumi Matajiri Zaidi Duniani,Wakwanza Anatoka Africa.

Uchunguzi uliofanywa na Richestlifestyle umegundua kuwa wachungaji matajiri zaidi wapo Nigeria. Uchunguzi huu umegundua kuwa wachungaji wa Nigeria wanautajiri mara mbili zaidi ya wachungaji wengine kwenye orodha ya wachungaji kumi matajiri zaidi duniani.

1) David Oyedepo – Net worth: $150 Million (Nigeria)

2) Chris Oyakhilome – Net worth: $50 Million (Nigeria)

3) Benny Hinn – Net worth: $42 Million (United States)

4) Creflo Dollar – Net worth: $27 Million (United States)

5) Billy Graham – Net worth: $25 Million (United States)

6) T. D. Jakes – Net worth: $18 Million (United States)

7) T.B. Joshua – Net worth: $15 Million (Nigeria)

8) Matthew Ashimolowo – Net worth: $10 Million (Nigeria)

9) Chris Okotie – Net worth: $10 Million (Nigeria)

10) Joseph Prince – Net worth: $5 Million (Singapore)
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook


Wachungaji Kumi Matajiri Zaidi Duniani,Wakwanza Anatoka Africa. Reviewed by Unknown on Wednesday, October 15, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.