Top Ad unit 728 × 90

.

Hii Kuhusu Collabo Ya Rapper Kutoka Ghana Na Fid q.

Ni mara chache sana unasikia Fid Q anafanya collabo na msanii yeyote kutoka nje ya Tanzania.
Kwenye inteview na Efm Nov 20 1014, Diamond Platnum amesema amefanikiwa kumunganisha rapper kutoka Ghana Sarkodie na Fid q kutoka Tanzania baada ya kusikia Fid q angependa kufanya nae kazi. Diamond anasema alimtumia message Sarkodie ikiwa na clip ya show ya Fid q na jamaa alishanga shangwe la Fid q kutoka kwa mashabiki.
 
Mpaka sasa Sarkodie ameshatumiwa wimbo ambao atafanya na Fid q ili asikilize na kufanya sehemu yake.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   
Hii Kuhusu Collabo Ya Rapper Kutoka Ghana Na Fid q. Reviewed by Unknown on Friday, November 21, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.