Kionjo Cha Video Mpya Ya Young Killer '13' Ft @Fidq Na Belle 9 Ambaye Hataonekana Kwenye Video.
Kabla ya kuiona video kamili mnamo November 13, Hichi kionjo cha video mpya ya Rapper Young Killer ft Fid q na Belle 9, wimbo unaitwa 13, Young Killer ametupa hizi sekunde 15 za video yake iliyofanywa na Nisher.
Kionjo Cha Video Mpya Ya Young Killer '13' Ft @Fidq Na Belle 9 Ambaye Hataonekana Kwenye Video.
Reviewed by Unknown
on
Saturday, November 01, 2014
Rating: