Top Ad unit 728 × 90

.

Lupita Nyong'o Kwenye Jarida La Glamour Kama 'Mwanamke Wa Mwaka' Mambo Matano Aliyosema Ndio Haya.

Lupita Nyong'o amekava Jarida La Glamour kama 'Mwanamke Wa Mwaka' na haya ndio mambo matano aliyosema kuhusu maisha yake.
1] Anapenda sana kuigiza ila anapata changamoto nyingi kuishi kama mtu maarufu.

2] Ndani ya mwaka mmoja ametoka kwenye kuangalia Tuzo za Oscar kwenye Tv mpaka kushinda tuzo ya Oscar.

3] Imehamasishwa sana na maisha ya Oprah.

4] Aliambiwa yeye ni mzuri akiwa nyumbani ila vyombo vya habari vilimpa mtazamo tofauti.

5] Ameteka watu wengi na style yake inayoitwa 'The Lupita Effect'

 
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook  
Lupita Nyong'o Kwenye Jarida La Glamour Kama 'Mwanamke Wa Mwaka' Mambo Matano Aliyosema Ndio Haya. Reviewed by Unknown on Monday, November 03, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.