Top Ad unit 728 × 90

.

Picha,Mke Wa T.I Alivyobadilisha Rangi Ya Macho Yake,Azungumzia T.I Alivyochukulia Swala Hilo.

Mke wa Rapper T.I , 'Tiny' amezungumzia kubadilisha rangi ya macho yake na jinsi T.I Alivyochukulia swala hilo. Tiny anasema "ni uamuzi wake kutaka mabadiliko kwenye mwili wake na pia anapendeza akiwa hivyo"

Kuhusu mume wake T.I, Tiny anasema "T.i aliniuliza tu nimefanya nini na akashanga ikaisha, anajua nimefanya nachopenda na hana tatizo na mimi "

 
 
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook


Picha,Mke Wa T.I Alivyobadilisha Rangi Ya Macho Yake,Azungumzia T.I Alivyochukulia Swala Hilo. Reviewed by Unknown on Saturday, November 01, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.