Angelina Jolie Kuacha Kuigiza,Hii Ndio Kazi Anataka Kufanya Sasa.
Kwenye interview na jarida la DuJour Jolie amesema " sijawahi kujiskia huru kuigiza japokuwa napendwa nikiwa mbele ya camera, sidhani kama nitaweza kuwa muongozaji bora kama navyotaka ila ndio kitu nataka kufanya sasa"
Kwa sasa Jolie anaongoza filamu "By The Sea" ambayo ameigiza na mume wake Brad Pitt.
Angelina Jolie Kuacha Kuigiza,Hii Ndio Kazi Anataka Kufanya Sasa.
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 20, 2014
Rating: