Baada Ya Kusikiliza Interview Ya Chameleone Kuhusu Collabo Na Diamond,Nimepata Haya Matatu Muhimu.
Chameleone amesema ...
1] Wenye Application ya Mziiki ndio walitaka Chameleone awe balozi wa app hio Uganda kama Diamond alivyo balozi wa app hio huku Tanzania na wafanyi wimbo pamoja kama mabalozi.
2] Mpaka sasa hawajakubaliana na App hio, hajampigia Diamond kumuomba collabo, Hajamuwhatsapp Diamond kuhusu collabo,Thats not right alisema Chameleone.
3] Chameleone aliendelea kusema "nimefanya muziki kwa miaka 14 sasa, mimi sio upcoming artist, Am not at a level of asking for a collaboration from any artist in that manner,
Msanii yeyote Africa atajivunia kufanya collabo na Chameleone kwakuwa ni mtu powa sana na anajua muziki na kutengeneza kazi bora, Una comment gani kuhusu hii stori mwanangu , niweke hapa chini, Asante na ubarikiwe.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Baada Ya Kusikiliza Interview Ya Chameleone Kuhusu Collabo Na Diamond,Nimepata Haya Matatu Muhimu.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, November 18, 2014
Rating: