Bado Ray J Anatengeneza Pesa Kutokana Na Mkanda Wa Ngono Na Kim Kardashian,Hizi Za Wiki Iliyopita Tu.
Vivid Entertainment imeuambia mtandao wa TMZ Kuwa mkanda wa Kim na Ray J unaoitwa Kim K Superstar imapata mauzo makubwa kutokana na picha za Kim K.
Ray J ambaye ni mdogo wake Brandy ametengeneza dola Elfu 50 '$50,000' wiki iliyopita pekee kwa mujibu wa rais wa Vivid Steve Hirsch,
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Bado Ray J Anatengeneza Pesa Kutokana Na Mkanda Wa Ngono Na Kim Kardashian,Hizi Za Wiki Iliyopita Tu.
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 20, 2014
Rating: