Bobby Shmurda Anazidi Kufanya Maajabu Na Wimbo Wake Wa 'Hot Boy'
Rapper Bobby Shmurda na wimbo wake wa 'Hot Boy' umefikia namba moja kwenye chati za nyimbo kubwa Marekani za Billboard Hot R&B/Hip-Hop.
Wimbo huu mpaka sasa umesikilizwa mara milioni 11.5 mpaka tarehe9 November. Kwenye chati nyingine kubwa za Billboard Hot 100 imetoka namba 8 mpaka 6 huku wimbo wake wa pili ‘Bobby Bitch’ ukitoka namba 34 mpaka 36.
Video ya wimbo huu mpaka sasa imetazamwa mara milioni 9.1 kwenye link tofauti nakuifanya iwe nyimbo ya rap iliyotazamwa zaidi mpaka sasa kwa muda mfupi.
Mpaka sasa wasanii kama Rihanna, Beyonce na Jay Z wameandika vitu tofauti kuhusu mtindo wa kucheza wa Bobby alioupa jina Shmoney dance.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Video ya wimbo huu mpaka sasa imetazamwa mara milioni 9.1 kwenye link tofauti nakuifanya iwe nyimbo ya rap iliyotazamwa zaidi mpaka sasa kwa muda mfupi.
Mpaka sasa wasanii kama Rihanna, Beyonce na Jay Z wameandika vitu tofauti kuhusu mtindo wa kucheza wa Bobby alioupa jina Shmoney dance.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Bobby Shmurda Anazidi Kufanya Maajabu Na Wimbo Wake Wa 'Hot Boy'
Reviewed by Unknown
on
Sunday, November 16, 2014
Rating: