#HabariNzuri,Picha, Jinsi Wema Sepetu Na Penny Walivyopatanishwa Na Aliyewapatanisha
Habari nzuri kwa mashabiki wa Wema na Penny wanaopenda amani na umoja, mtangazaji wa radio na Tv Penny Mungila aka VJ Penny na Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu wamemaliza tofauti zao. Mastaa hawa waligombana na kutengana kwa muda mfupi kabla ya watu kujua kinachoendelea kati yao.
Wamepatanisha na Dada Junaitha baada ya kuandaa chakula cha usiku kwenye hoteli ya Sea Cliff Dar es salaam.
Huyu ndio dada Junaitha |
#HabariNzuri,Picha, Jinsi Wema Sepetu Na Penny Walivyopatanishwa Na Aliyewapatanisha
Reviewed by Unknown
on
Sunday, November 09, 2014
Rating: