HipHop Yapata Pigo,Rapper Geez Mabovu Afariki Dunia.
Rapper Geez Mabovu moja kati ya Hip Hop artist kutoka Bongo, amefariki usiku huu majira ya saa moja kwenye hospitali huko kwao Iringa. Geez alikuwa anaumwa na aliondoka Dar wiki mbili zilizopita huku hali yake ikiwa sio nzuri kabisa.
Geez anafahamika kwa kazi za hiphop zilizofanya vizuri kama 'Mtoto Wa Kiume'.
HipHop Yapata Pigo,Rapper Geez Mabovu Afariki Dunia.
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, November 12, 2014
Rating: