Top Ad unit 728 × 90

.

LifeTime Wametoa Filamu Ya Maisha Ya Aaliyah,Picha Na Show Yake Ilivyoigizwa Yashtua Watu.

LifeTime wametoa kipisi cha video ya mwigizaji Alexandra Shipp akiimba kama marehemu Aaliyah iliyogusa watu wengi mtandaoni mpaka wengine kuthubutu kusema ni Aaliyah.
Watayarishaji wa filamu hii hawajaruhusiwa kutumia muziki wa Aaliyah kuigizia. Filamu inaitwa Aaliyah;Princess Of RnB.

 
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook 
LifeTime Wametoa Filamu Ya Maisha Ya Aaliyah,Picha Na Show Yake Ilivyoigizwa Yashtua Watu. Reviewed by Unknown on Sunday, November 16, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.