Top Ad unit 728 × 90

.

Orodha Ya Forbes Ya Wasanii Wakike Walioingiza Pesa Zaidi Kwenye Muziki Mwaka 2014.

Forbes imetoa orodha ya wasanii wa kike waliotengeneza pesa zaidi kwenye muziki mwaka 2014, Beyoncé ametajwa namba moja kwenye orodha akiwa ametengeneza dola za Kimarekani milioni $115. Wasanii wengine waliotajwa ni Taylor Swift, Pink, Rihanna na Lady Gaga.

Hii ndio orodha ya wasanii hawa na pesa walizotengeneza
1. Beyoncé - $115 million
2. Taylor Swift - $64 million
3. Pink - $52 million
4. Rihanna with - $48 million
5. Katy Perry - $40 million
6. Jennifer Lopez - $37 million
7. Miley Cyrus - $36 million, tie
7. Celine Dion - $36 million, tie
9. Lady Gaga - $33 million
10. Britney Spears - $20 million
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook  
Orodha Ya Forbes Ya Wasanii Wakike Walioingiza Pesa Zaidi Kwenye Muziki Mwaka 2014. Reviewed by Unknown on Thursday, November 06, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.