Top Ad unit 728 × 90

.

Picha, Diamond Kwenye Video Na Model Wa Kizungu.#BongoInstagram

Ukisikia Mind Games ndio hii Diamond anafanya na mashabiki wake, Usiku wa kuamkia Nov 17 alitumia instagram kuweka picha akiwa na model anayeaminika kuwepo kwenye video yake mpya.
Ujumbe ulioambatana na picha hii ulikuwa 'Bahari ishachafuka ndugu zangu ntafutieni mfuko nitapike '

Imeaminika kuwa video hii imeshafanyika na kinachosubiriwa ni bahari kutulia ndio video itoke.

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   

Picha, Diamond Kwenye Video Na Model Wa Kizungu.#BongoInstagram Reviewed by Unknown on Monday, November 17, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.