Wikiendi iliyopita ilishuhudia kilele cha kampeni ya Lite Up The Weekend ambayo iliyoendeshwa na bia ya Castle Lite huku ikihusisha wanywaji wa bia hiyo waliopata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali kwa kutuma namba za ndani ya kizibo. Katika siku hiyo washindi wa droo kubwa walipata nafasi ya kukutana na kujumuika katika Yacht Party iliyoanzia katika ya hoteli ya Coral Beach kabla ya kupanda Yacht iliyowapeleka katika kisiwa cha Mbudya.
Hizi ni baadhi ya
picha kutoka katika party hiyo.
|
Baadhi ya wapenzi
wa bia ya Castle Lite katika picha ya pamoja mara baada ya kukutana
hoteli ya Coral Beach siku ya Ijumaa |
|
Pozi la picha ya
ukumbusho katika Yacht |
|
Hali ya hewa
iliruhusu wote kufurahia uwepo wao katika tukio hili
|
|
Hali ya hewa
iliruhusu wote kufurahia uwepo wao katika tukio hili
|
|
Hakuna Party bila
selfie kama wanavyoonyesha wawili hawa |
|
Safari ikaishia
katika kisiwa cha Mbudya ambako walishuka kuburudika |
|
Mpira wa miguu
ufukweni ni raha kwa kila mtu bila kujali jinsia
|
|
Stori za hapa na
pale mara baada ya kurejea hoteli ya Coral Beach
|
|
Castle Lite
ikiendelea kuwaburudisha |
|
Chakula cha
jioni kwa wote | | |
Comment juu ya hii stori mwanangu niweke pale chini, Pamoja sana.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook