Top Ad unit 728 × 90

.

Picha Tatu,Janet Jackson Ameonekana Hadharani Baada Ya Mwaka Mmoja,

Baada ya kufunga ndoa na Bilionaire kutoka nchini Qatar 'Wissam Al Mana, Janet Jackson alipotea kabisa kwenye mambo ya muziki na kwenye mambo ya burudani. Hivi karibuni watu waliomiss sana walimuona pale alipohudhuria Vogue Fashion Dubai Experience, ikiwa ni mara ya kwanza anaonekana hadharani baada ya mwaka mmoja.

Janet mwenye miaka 48 aliongea mwaka jana kuhusu muziki na kusema anamipango ya kufanya nyimbo kadha ila anataka ziwe na ubunifu tofauti ni kilichoko sasa kwenye tasnia ya muziki.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   
Picha Tatu,Janet Jackson Ameonekana Hadharani Baada Ya Mwaka Mmoja, Reviewed by Unknown on Tuesday, November 04, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.