Picha Ya Gadner G Habash Inayohitaji Maelezo,Yupo Na Mwanamke Kwenye Swimming,Ila Sio Jay Dee
Interview ya mwisho kufanyiwa Gadner G Habash hakukiri wazi kuwa ametengana na Lady Jay Dee ila pamekuwa na uvumi kuwa wanaishi nyumba tofauti na kwamba Gadner ameanzisha mahusiano na mwanamke mwingine.
Hii picha mpya amepost Gadner akiwe kwenye eneo linaloonekana kuwa ni bwawa la kuogelea na mwanamke akiwa pembeni yake ujumbe ukiwa ni 'Ishara ya Kwaheri' Ni Rafiki Au Mpenzi Wake ?
Hii picha mpya amepost Gadner akiwe kwenye eneo linaloonekana kuwa ni bwawa la kuogelea na mwanamke akiwa pembeni yake ujumbe ukiwa ni 'Ishara ya Kwaheri' Ni Rafiki Au Mpenzi Wake ?
Picha Ya Gadner G Habash Inayohitaji Maelezo,Yupo Na Mwanamke Kwenye Swimming,Ila Sio Jay Dee
Reviewed by Unknown
on
Monday, November 17, 2014
Rating: