Picha,Navio Na Izzo Bizness Kurekodi Collabo Yao Leo
Msanii kutoka Uganda aliyesema angependa kufanya kazi na rapper Izzo Bizness, Leo November 20 2014 atakamilisha mpango huo baada ya wawili hawa kukutana na kukubaliana kuwa kazi hio inaweza kufanyika.Wimbo utafanywa na Master Jay.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Picha,Navio Na Izzo Bizness Kurekodi Collabo Yao Leo
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 20, 2014
Rating: