Top Ad unit 728 × 90

.

Picha,Unajua Kuhusu Flaviana Matata Kuvalishwa Pete Ya Uchumba,Kasema Je ?,Viko Hapa

Kutoka kwenye instagram ya 'Super Model'  mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania Flaviana Matata ambae amekua akiishi na kufanya kazi zake nyingi Marekani,amependa kutufahamisha kuwa amevalishwa pete ya Uchumba na amesema NDIO.

Flavi aliweka picha ikiwa na ujumbe ‘I said YES‘ ikiwa YES Imeandikwa kwa herufi kubwa kutia msisitizo. 

Nakumbuka stori ya mwisho kuandika kuhusu Flavi ilihusu misaada mbali mbali aliyojitolea kupitia taasisi yake ya kusaidia watu ya Flaviana Matata Foundation.

Hongera kwa Flaviana Matata

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook   
Picha,Unajua Kuhusu Flaviana Matata Kuvalishwa Pete Ya Uchumba,Kasema Je ?,Viko Hapa Reviewed by Unknown on Sunday, November 16, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.