Rekodi Nyingine Aliyoweka Cristiano Ronaldo Wiki Hii.
Cristiano Ronaldo ameifungia Ureno goli
la ushindi dhidi ya Armenia Nov 14, 2014 na Goli hilo limemfanya afikishe jumla ya
magoli 23 katika michuano ya ulaya na hivyo kuweka rekodi ya kuwa
mfungaji bora wa muda wote wa michuano hiyo.
Rekodi Nyingine Aliyoweka Cristiano Ronaldo Wiki Hii.
Reviewed by Unknown
on
Sunday, November 16, 2014
Rating: