Snoop Dogg Atoa Sababu Ya Kuvuta Bangi Na Inavyomsaidia.
Snoop Dogg amesema " Bangi inamsaidia kuwa na mtazamo bora, kuwa ndani ya kazi yenyewe na 'FOCUS' ya maana, unajua unaweza tupia marangi tu ukutani ukatoa kitu ila ukiwa na muda wa kukitazama na kukifikiria kitatoka bora zaidi"
Snoop amekuwa akiongelewa kama mtumiaji marijuana wa muda mrefu kwenye sana na iliaminika kuwa ina msaidia kwenye muziki tu, sasa kumbe hata kwenye sanaa zingine inatoa msaada.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia Instagram , Twitter Na Facebook
Snoop Dogg Atoa Sababu Ya Kuvuta Bangi Na Inavyomsaidia.
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 20, 2014
Rating: