Utazipata Hapa Nyimbo Mbili Mpya Za Rapper Godzilla Illumi Naughty Na Karibu Yako.
Nyimbo mbili mpya kutoka kwa Godzilla - Illumi Naughty na Karibu Yako. Wimbo wa Karibu Yako umerekodiwa chini ya usimamizi wa Lamar akiwa Fishcrab studios na wimbo wa Illumi Naughty umerekodiwa chini ya Mswaki.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Utazipata Hapa Nyimbo Mbili Mpya Za Rapper Godzilla Illumi Naughty Na Karibu Yako.
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, November 12, 2014
Rating: