Top Ad unit 728 × 90

.

Akon Alivyofanya Show Congo Ndani Ya Puto Kuhofia Ebola.

Ilikuepuka maambukizi ya ugonjwa wa Ebola akiwa kwenye tamasha kubwa la amani Congo, msanoo Akon kutoka Marekani amefanya show ndani ya Puto gumu la plastic huko Goma.

Kauli mbio ya show hio ilikuwa Umoja ila alichofanya Akon kilikowa tofauti kwani alionekana kujihadhari sana na kuguswa na mtu yeyote kutoka nchi hio akiamini kuna ugonjwa wa Ebola kila kona ya Africa.
 
 
 
 

Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Akon Alivyofanya Show Congo Ndani Ya Puto Kuhofia Ebola. Reviewed by Unknown on Sunday, October 19, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.