Top Ad unit 728 × 90

.

Msanii Nash Nash Designer Amefiwa Na Baba Yake Mzazi

Msanii,Vocal Trainer,Records Producer,Musician na Songwriter Nash Designer amefiwa na baba yake mzazi jana usiku saa tisa ambapo ndio alipokea habari. Baba yake Nash alikuwa anaishi kinondoni mkwajuni. Pole kwa familia ya Nash kwa kumpoteza Baba yao mzee Shabani Omary. Msiba upo Kinondoni Msisirii.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Msanii Nash Nash Designer Amefiwa Na Baba Yake Mzazi Reviewed by Unknown on Sunday, October 19, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.