Top Ad unit 728 × 90

.

Amber Rose Ataonekana Kwenye Cover La Jarida La Oyster La Australia,Hizi Picha Akiwa Na Model Wa Kiume.

Kwa mujibu wa vitabu vingi vya mapenzi wanasema ni muhimu kuwa na kitu cha kufanya kitakacho kuondolea mawazo ya kimapenzi baada ya kutendwa au ndoa yakokuvunjika. Amber Rose ameonekana kuwa na mambo mengi sasa ya kufanya kama movie na matangazo ya bidha tofauti baada ya kutengana na mume wake Wiz Khalifa.
Hizi ni picha akiwa kwenye Photo Shot ya cover la jarida la Australia la Oyster .



Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Amber Rose Ataonekana Kwenye Cover La Jarida La Oyster La Australia,Hizi Picha Akiwa Na Model Wa Kiume. Reviewed by Unknown on Friday, October 17, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.