Top Ad unit 728 × 90

.

Picha Za Ay Kwenye Video Shooting Marekani, Pia Anafanya Wimbo Na Msanii Mwingine Mkubwa Akiwa Huko.

Ay amekamilisha utengenezwaji wa video yake nchini Marekani aliyofanya na msanii Sean Kingston. Kwenye interview niliyofanya nae Ay anasema

"Nimepokea ushirikiano mzuri kutoka kwa Sean kingston na Mama yake pia amenipa ushirikiano, video tumemaliza na inatoka November, ukiacha video nina mpango wa kurekodi wimbo na msanii mkubwa hapa Marekani ambaye siko tayari kumtaja sasa"


Picha Za Ay Kwenye Video Shooting Marekani, Pia Anafanya Wimbo Na Msanii Mwingine Mkubwa Akiwa Huko. Reviewed by Unknown on Friday, October 17, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.