Top Ad unit 728 × 90

.

C.E.O Wa Arsenal Azungumzia Itakuaje Akiondoka Arsene Wenger

Arsene Wenger Akiondoka Arsenal Itakuwa Ngumu Kupata Kocha Mpya 'Ivan Gazidis'.
Chief Executive Officer wa klabu ya Arsenal 'Ivan Gazidis' amesema changamoto kubwa watakayo kuwa nayo ni kutafuta kocha mpya pale Arsene Wenger atakapoamua kustaafu.

Wenger anayetimiza miaka 65 tarehe 22 October 2014 alitia wino kwenye mkataba mpya wa miaka mitatu May mwaka huu.

Ivan Gazidis anasema tuna Giant anaongoza klabu yetu na ametuweka sehemu nzuri kwa muda mrefu.
 
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
C.E.O Wa Arsenal Azungumzia Itakuaje Akiondoka Arsene Wenger Reviewed by Unknown on Tuesday, October 14, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.