Picha,Wanasema Hana Skendo Kabisa,Sasa Ametajwa Kuwa Mwanamke Mwenye Mvuto Zaidi Hollywood.
Jarida la Esquire limemtaja mwigizaji msiri zaidi wa maisha yake Penelope Cruz kuwa yeye ndio mwanamke mwenye mvuto zaidi aliye hai Hollywood mwaka huu "Sexiest Woman Alive"
Penelope Cruz amejiunga kwenye orodha ya mastaa wa kike waliowahi kutajwa kwenye sehemu hio kama Scarlett Johansson, Mila Kunis na msanii Rihanna.
Picha,Wanasema Hana Skendo Kabisa,Sasa Ametajwa Kuwa Mwanamke Mwenye Mvuto Zaidi Hollywood.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 14, 2014
Rating: