Detroit Pistons Wamuacha Hasheem Thabeet.
Timu ya mpira wa Kikapu ya Detroit Pistons imesitisha mikataba ya
wachezaji wanne wakubwa akiwemo Mtanzania Hasheem Thabeet. Hasheem
alichezea timu hio baada ya kutoka Philadelphia 76ers ambao
walimnunua kutoka Oklahoma City Thunder August 26.Oklahoma City
walipokea dola $1.25 walivyomuuza Hasheem Thabeet.
Wachezaji wengine walioachwa ni Brian Cook,Josh Bostic na Lorenzo
Brown..
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Detroit Pistons Wamuacha Hasheem Thabeet.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 21, 2014
Rating: