Taarifa Za Kuaga Na Mazishi Ya Msanii Wa TMK Wanaume Family YP.
Kiongozi wa TMK Wanaume Family ametoa taarifa za mazishi ya msanii wa TMK Wanaume Family YP Aliyefariki usiku wa kuamkia 21/10/2014 sababu ya kifo ikiwa ni matatizo ya kifua ataagwa kwenye viwanja vya TCC Chan'ombe na baada ya hapo atazikwa kwenye makaburi ya Chan'ombe maeneo ya maduka mawili.
Taarifa Za Kuaga Na Mazishi Ya Msanii Wa TMK Wanaume Family YP.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 21, 2014
Rating: