Top Ad unit 728 × 90

.

Hemedy Azungumzia Utengenezwaji Wa Video Yake Mpya 'The One' Ndio Video Bora Kuliko Video Zake Zote

Hemedy amezungumzia video yake mpya nakusema anaamini hii ndio video bora kuliko zote kwenye maisha yake ya muziki, Kwenye Exclusive interview na Sammisago.com, Hemedy anasema
“mambo aliyotaka kwenye video yake bora kwenye muziki ameyafanya na ameyapata, Kuanzia Video queen,chakula,usafiri, kampuni aliyofanya nayo, Aliyeshirikishwa,Location vyote sawa, Asilimia 99.5, Video imegharimu milioni 6.5”

Kuhusu kufunga ndoa na tarehe ya harusi, Hemedy anasema “Ilitakiwa iwe November 2014 ila mambo ya movie na safari yameingiliana sasa napanga tena tarehe ila ni siku za karibuni tu”
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Hemedy Azungumzia Utengenezwaji Wa Video Yake Mpya 'The One' Ndio Video Bora Kuliko Video Zake Zote Reviewed by Unknown on Thursday, October 23, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.