Top Ad unit 728 × 90

.

Fuse ODG Ashinda Tuzo Ya Best Africa Act. #MOBO2014

 
Msanii kutoka Ghana anayeishi na kufanya kazi zake Uingereza Fuse ODG Ameshinda tuzo ya Best African Act 2014 kwenye tuzo za MOBO za mwaka 2014.Hii ni mara ya pili kwa mfululizo Fuse anashinda tuzo hii. Fuse alikuwa akiwania tuzo hii na wasanii Davido, Wizkid, Mista Silva na Afrikan Boy.


Fuse ODG aka Nana Richard Abiona ameng'ara na nyimbo kama Antenna, Azonto na Million Pound Girl (Badder Than Bad). Wimbo wake mpya ‘Dangerous Love’ Ft Sean Paul ulifika namba mbili kwenye chati za Uingereza za nyimbo bora 40.
Kupata Stori, Nyimbo Na Interviews Za  Sammisago.com , Bonyeza Hizi Tuwe Pamoja>> Instagram , Twitter Na Facebook


Fuse ODG Ashinda Tuzo Ya Best Africa Act. #MOBO2014 Reviewed by Unknown on Thursday, October 23, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.