Hii Video Mpya Ya Timbulo-Nakumiss Miss, Enjoy
Nilipata nafasi ya kutambulisha video ya msanii Timbulo 'Nakumiss Miss' iliyotayarishwa na Pablo kupitia D360 kampuni yake ya production, Kwenye interview na Timbulo ameniambia ni video yake ya kwanza kucheza zaidi na pia amependa maeneo yaliyotumia kufanyia video.
Hii Video Mpya Ya Timbulo-Nakumiss Miss, Enjoy
Reviewed by Unknown
on
Saturday, October 18, 2014
Rating: