Top Ad unit 728 × 90

.

Picha,Kama Kawaida Ya Fabolous Kutambulisha Swagga Mpya Kwenye Hiphop,Hili Jipya Mwaka Huu

Rapper Fabolous anafahamika kwa kutambulisha swagga mpya kwenye hiphop haswa kwenye mavazi,kama unakumbuka alivyovaa kwenye wimbo wa 'Trade It All' na zile jezi zikavaliwa dunia nzima kwa miaka miwili sasa ametuonyesha kiatu chake aina ya Timberlands kutoka [ Christian Louboutin] cheusi chenye nchi 6 kimabadilishwa soli na kuwa nyekundu.
Timberland halisi haijawahi kuwa na soli nyekundu ila baada ya muda tu utaona vijana wapenda mitindo wakibadilisha soli za Timberland zao.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Picha,Kama Kawaida Ya Fabolous Kutambulisha Swagga Mpya Kwenye Hiphop,Hili Jipya Mwaka Huu Reviewed by Unknown on Saturday, October 18, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.