Jay Sean Aachana Na Cash Money Records Baada Ya Miaka Sita.
Miaka sita baada ya kuingia mkata na Cash Money Records msanii Jay Sean ameachana na record lebel hio. Kupitia Cash Money Jay Sean ametoa album mbilia mwaka 2009 'All or Nothing' na 2013 'Neon'.
Jay Sean anasema bado anamahusiano mazuri na viongozi wa Cash Money ambao ni Slim na Baby.Sean anasema anataka kuendelea kufanya muziki wake wa Rnb na ndio kitu anapenda. Kwa sasa Jay Sean atakuwa msanii bila lebel na mixtape yake 'Mistress II' Inatoka November 2014.
Jay Sean anasema bado anamahusiano mazuri na viongozi wa Cash Money ambao ni Slim na Baby.Sean anasema anataka kuendelea kufanya muziki wake wa Rnb na ndio kitu anapenda. Kwa sasa Jay Sean atakuwa msanii bila lebel na mixtape yake 'Mistress II' Inatoka November 2014.
Jay Sean Aachana Na Cash Money Records Baada Ya Miaka Sita.
Reviewed by Unknown
on
Saturday, October 25, 2014
Rating: