Top Ad unit 728 × 90

.

Mwigizaji Aliyechaguliwa Kuigiza Kwenye Filamu Ya Maisha Ya Steve Jobs.

Mwigizaji wa filamu za Bat Man Christian Bale amempiku mwigizaji mwingine maarufu Ashton Kutcher kwenye kupata nafasi yakuigiza kama Steve Jobs

Aaron Sorkin amethibitisha kuwa mwigizaji wa "Dark Knight" ametajwa kuwa mwigizaji kwenye filamu itakayohusu maisha ya msanzilishi msaidizi wa kampuni ya eletronics ya Apple.

Sorkin aliyeandika filamu ya kutengenezwa kwa Facebook "The Social Network" amesema Bale amechaguliwa sababu tunahitaji mwigizaji bora.

Filamu hii itahusu maisha ya "Steve Jobs" kama yalivyoandikwa kwenye kitabu cha Walter Isaacson ambacho Steve Jobs alikubali kiandikwe. Jobs amefariki mwaka 2011.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook

Mwigizaji Aliyechaguliwa Kuigiza Kwenye Filamu Ya Maisha Ya Steve Jobs. Reviewed by Unknown on Saturday, October 25, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.