Joett Aachia Singo Mpya Akishirikisha Wasanii wa Bongo Flava G Fullah na Level One
Mwalimu wa kuimba na msanii wa ku-rekodi miondoko ya pop – Joett, anaachia singo yake mpya I’m Gonna Live Forever Octoba 13 2014, ambayo amewashirikisha wasanii wa bongo flava G Fullah na kundi la vijana wa kiume (boyband) lijulikanalo kama Level One. Voko za trak hii zilirekodiwa na Max Rioba pale Authentic Records,
Dar es salaam, na kuandaliwa na producer mahiri nchini Uingereza, Patrick Jonsson, ambae amefanya kazi na Joett kwa kipindi kirefu. Mixing pamoja na mastering ya trak hiyo imefanyika na sound engineer na producer King Penn (KP), wa Atlanta, Marekani, ambae amefanya kazi na lebo ya Madonna ijulikanayo kama Maverick; Warner Bros, EMI, Beyonce, Solange, Columbia, 50 Cent, John Lennon Songwriters, MCA, The Big Boy Records, Def Jam, Dallas Austin, na mamia ya wasanii wa lebo ndogo zijuliakanazo kama Indie Labels. Joett, ambae hutoa singo moja tu kwa mawaka, aliamua kuwashirikisha vijana hawa ili kuwapa fursa ya kutoka katika viwango vya kimataifa, na amedhamiria kuendelea kufanya hivyo kwa miaka ijayo. “Ningependa sana kukuza vijana katika tasnia hii ya mziki, na hasa kuwashukuru mashabik pamoja na wadau wa mziki kwa ushirikiano wao enedelevu,” alisema Joett.
Joett ft. G-Fullah & Level One – I’m Gonna Live Forever
I wanna fly
I’m gonna live forever
Ahsante mungu kwa kunipa kiumbe
Nitakilinda yaani bila uzembe
Acheni majirani nijilambe lambe
Utamu nnaopata ni zaidi ya embe
Ever since the dawn of time
Written in the book of love
In the mind, in the soul
Up until the end of time
I am gonna live forever
Put me on a pedestal
Shine a bright light to your evergreen love
In the mind, in the soul
Up until the end of time
I am gonna live forever
[I’m gonna live forever]
Take me in a new direction
Fill me out a new dimension
In the mind, in the soul
Up until the end of time
I am gonna live forever
[I’m gonna live forever]
Aaa oohoo oohoo
Aaa oohoo oohoo
Aaa oohoo oohoo
Aaa oohoo oohoo
Ever since the dawn of time
Written in the book of love
I wanna fly
Take me in a new direction
I wanna fly
Fill me out a new dimension
I’m gonna live forever
The spirit of love is the energy
I wanna give to the universe
I wanna fly [I wanna fly]
I’m gonna live forever
I wanna fly [I wanna fly]
I’m gonna live forever
I wanna fly [I wanna fly]
I’m gonna live forever
Written by Joett for Joett Music | Produced by Patrick Jonsson for Ignition Sound, London, UK |
Executive Producer Joett |Copyright & Publishing Joett Music via ASCAP, USA.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook

G Fullah alinyakuliwa na Joett toka kipindi cha ITV Hawavumi Lakini Wamo; Abdul Kagoi toka Epiq Bongo Star Search 2013; Rahym alitambulishwa kwa Joett na kaka yake, msanii wa bongo flava Mbongo Halisi, nakuchukuliwa na Joett kufundishwa kuimba. Nixon alidhaminiwa na mama yake kufundishwa sauti kwa Joett, alafu baadae Joett akamweka kwenye program yake ya misaada kwa wasanii chipukizi na hatimae kummpa mkataba wa ku-rekodi chini ya lebo yake – Joett Music. Kikundi cha Level One ni Abdul, Rahym na Nixon.
Kwa bahati mbaya, G Fullah alifariki asubuhi ya Jumapili tarehe 5 October 2014. “Habari za kifo chake zimenishtua na kuleta huzuni kubwa sana kwenye moyo wangu. Nilikua na mipango mikubwa kwa G Fullah katika tasnia hii ya muziki. Alikua ni mtu mzuri sana. Tutamkumbuka milele, Mungu ailaze roho yake pahali pema,” alisema Joett.
Joett ft. G-Fullah & Level One – I’m Gonna Live Forever
I wanna fly
I’m gonna live forever
Ahsante mungu kwa kunipa kiumbe
Nitakilinda yaani bila uzembe
Acheni majirani nijilambe lambe
Utamu nnaopata ni zaidi ya embe
Ever since the dawn of time
Written in the book of love
In the mind, in the soul
Up until the end of time
I am gonna live forever
Put me on a pedestal
Shine a bright light to your evergreen love
In the mind, in the soul
Up until the end of time
I am gonna live forever
[I’m gonna live forever]
Take me in a new direction
Fill me out a new dimension
In the mind, in the soul
Up until the end of time
I am gonna live forever
[I’m gonna live forever]
Aaa oohoo oohoo
Aaa oohoo oohoo
Aaa oohoo oohoo
Aaa oohoo oohoo
Ever since the dawn of time
Written in the book of love
I wanna fly
Take me in a new direction
I wanna fly
Fill me out a new dimension
I’m gonna live forever
The spirit of love is the energy
I wanna give to the universe
I wanna fly [I wanna fly]
I’m gonna live forever
I wanna fly [I wanna fly]
I’m gonna live forever
I wanna fly [I wanna fly]
I’m gonna live forever
Written by Joett for Joett Music | Produced by Patrick Jonsson for Ignition Sound, London, UK |
Executive Producer Joett |Copyright & Publishing Joett Music via ASCAP, USA.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Joett Aachia Singo Mpya Akishirikisha Wasanii wa Bongo Flava G Fullah na Level One
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 14, 2014
Rating: