Picha,Jinsi Application Ya Big Sean Ya Kumtoa X Wako Kwenye Picha Inavyofanya Kazi.
Kwenye habari nyingine Big Sean ametambulisha application ya simu za Android kwa ajili ya kumtoa mpenzi wako wa awali kwenye picha na kuiweka kwenye Instagram,Facebook au Twitter ikiwa na Ujumbe ‘I Don’t F**k With You’ ambayo ndio nyimbo mpya ya Big Sean katika nyimbo nne mpya alizotoa kutoka kwenye album yake mpya. Baada ya kumtoa mpenzi wako kwenye picha, hakikisha unaweka na hii Hashtag#IDFWU
Picha,Jinsi Application Ya Big Sean Ya Kumtoa X Wako Kwenye Picha Inavyofanya Kazi.
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, October 14, 2014
Rating: