Msanii anayewakilisha Mwanza aliyeng'ara kupitia single yake ya Basi Nenda Mo Music ametoa wimbo mpya Unaitwa Almasi,Ni wimbo wa tatu mwaka huu, 21/10/2014 alitoa Simama.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Kazi Nyingine Mpya Ya Mo Music-Almasi,Imetoka 22/10/2014.
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, October 22, 2014
Rating: 5