Top Ad unit 728 × 90

.

Party With Baabkubwa Magazine.

Jarida linaloongoza Bongo kwa mastori ya kufa mtu 'Baabkubwa Magazine' kwa kushirikiana na kampuni ya Drimz wanakuletea bonge moja la party linaloitwa 'Party With Baabkubwa' ambalo litahudhuriwa na mastaa kibao wa Bongo.
Mbali na mastaa kutakuwa na mashindano ya wasanii wanaoimba na kuchana wanaosoma vyuo vikuu na winnerz  watapata very Big Deal ikiwemo ku-record singoz matata kwa Lamar wa FishCrab Audio Station.
Kwa mdada na mkaka watakaotoklezea na swagga za ukweli watapata gift bomba from duka bora la nguo in the city  la Street Soul.
Mtonyo wa mlangoni ni sh 10,000 na watu 50 wa mwanzo watapata pia mazawadi ya ukweli, hayo ni machache tu mengi yata-happen Club Sun Cirro, Sinza, tarehe 1/ 11/ 2014 siku ya Jumamosi.
Be there or be squared… njoo u-dance mpaka udondoke!!!
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Party With Baabkubwa Magazine. Reviewed by Unknown on Thursday, October 23, 2014 Rating: 5
All Rights Reserved by SamMisago.Com © 2014 - 2015
WebDesigned by iDodo enterprises

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.